IQNA – Shirika la Kitaifa la Vyombo vya Habari la Misri limetangaza kuzinduliwa kwa kipindi kipya chenye kichwa cha habari “Imam Mkuu”, kilichotengwa mahususi kwa ajili ya hotuba na mawaidha ya Maimamu wa Al-Azhar katika miongo kadhaa iliyopita.
Habari ID: 3482639 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/17